Cheki picha za party ya Chris Brown akisherekea baada kutoka jela
5:44:00 AM
Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo
mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha
Chris Brown tangu atoke jela.
Ukiangalia kwa makini picha hizi utagundua kwamba Chris Brown amenenepa
tofauti na vile alivyokuwa aningia gerezani. Party hiyo ilijumuisha
sherehe ya birthday yake iliyopita. Watu waliokuwepo kwenye hiyo party
ni T Pain,Tyga,Big Seam na marafiki wa karibu pamoja na familia.
Post a Comment: