Jux kuwa ungamkono Piano na Em Dee kwa mix tape yao
12:03:00 AM
Msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini Tanzania Jux anayetamba na kibao chake cha 'Nitasubiri'
Inasemekana amevutiwa nakazi yao Piano & Em Dee walio leta mabadiliko kidogo katika tasnia ya R&B kwa kufanya album moja ya mixstape yenye mfumo wa maadhi hayo
"Kwasasa sina lakusema zaidi ya kumshukuru Mungu kwa kutuonesha uwepo wake katika kazi zetu, mashabiki wanazipenda na wasanii wanazikubali pia so ni mwanzo mzuri" By Piano the voice.
Albamu hiyo yenye takribani nyimbo saba lakini iki endakwajina la BORA UENDE kama ndo nyimbo itakayo fanyiwa shooting hivi karibuni inazidi kuwa gumzo "Kiukweli naomba sapoti ya mashabiki waipokee kazi vizuri na wadau wote wa muziki ili tufanikiwe kuiweka sokoni" By Em Dee
Post a Comment: