Taarabu ya ukumbini yakemewa Rwanda
12:18:00 AM

Baraza la waislamu nchini Rwanda limesimamisha shughuli za
burudani za akina mama katika kumbi maalum wanapokutana kucheza na kutoa
michango ya hali na mali kwa ajili ya vijana wanaojiandaa kufunga ndoa.
Viongozi hao wanasema akina mama wa kiislam wanakiuka sheria za dini kwa
kucheza muziki wa taarabu kwa mbwembwe na mitindo isiyofaa.
Post a Comment: