Ahukumiwa kwa utekaji na mauaji ya vijana watatu
 |
| Hussam Qawasmeh |
Mwanamume mmoja mwenye asili ya Palestina,amekutwa na hatia ya kuandaa
utekaji nyara na hatimaye mauaji ya vijana watatu wenye asili ya Israel
huko West Bank,amehukumiwa na mahakama ya kijeshi ya Israel kifungo cha
miaka mitatu .
Hum Qawasmeh pia aliamuriwa kulipa faini ya dola za marekani elfu
sitini na tatu kama fidia kwa kila familia iliyokumbwa na mpango wake.
Watu
wengine wawili waliossakuwa wakishukiwa kutekeleza mpango huo,mapema mwezi
June ,wao walipigwa risasi na kufa na jeshi la Israel mnamo mwezi
Septemba mwaka jana Kitendo hicho cha utekaji nyara hatimaye mauaji ya
vijana hao yalisababisha kuibuka kwa vurugu kubwa kati ya Israel na
Palestina.
Post a Comment: