Bangi kuwatibu wagonjwa Ujerumani

Mmea wa Bangi

Serikali ya Ujerumani imeidhinisha mswada unaowaruhusu wagonjwa walio katika hali mahututi kutumia bangi kama dawa kuanzia mwaka ujao.
Mataifa kadhaa ya Ulaya tayari yanatumia bangi kutibu magonjwa kupitia uidhinishaji maalum,huku majimbo kadhaa ya Marekani yakipiga marufuku utumizi wake
Post a Comment: