Diamond aiteka Afrika Kusini
1:04:00 AM
Usiku wa kuamkia jana uliendelea kuwa mnzuri kwa star wa Tanzania kwani aliweza kumgaragaza msanii kutoka kundi la Mafikizolo Theo kwenye shindano la lip sync battle ambalo linaendesha chini ya msanii kutoka Nigeria D`banj na kisura wa afrika kusini Pearl Thusi msanii kutoka Tanzania kutoka aliyeweza kumshinda ujanja Theo wa Mafikozola hasa pale alipoweza kucheza vizuri wimbo wa Khona ambao umeimbwa na Theo Mafikizolo mwenyewe na kuwaacha wazulu na makaburu wote midomo wazi.
Post a Comment: