Kampuni ya apple yenye makazi yake nchini Marekani wamedhamiria kuja na aina ya simu ambayo ni toleo jipya la iphone itakayikua ya vioo na parashuti hivyo kuisaidia hata ikianguka kwa bahati mbaya isifike chini na badala yake kuelea juu.

Akiongea kwenye mkutano wa kila mwaka wa wana hisa wa kampuni hiyo mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya iphone inayotengeneza umbo la nje ya simu aliweza kuonyesha wanahisa hayo kosepti yake jinsi itakavyoweza kufanya kazi nabwana allen horng alisema hili kuzipa uimara simu hizo watatengeneza femu za chuma na zitawagharimu sana hivyo basi hata soko lake litakua juu kwa gharama.chini ni link itakayokuonyesha iphone hiyo mpya yenye parashuti na kioo tupu itakupeleka moja kwa moja youtube.
Tazama hapa kwa iphone yenye parashuti na kioo tupu
Tazama hapa kwa iphone yenye parashuti na kioo tupu
Post a Comment: