Mchezaji wa kimataifa wa argentina  lionel Messi yupo matatani kwenda jela miaka 22 akikutwa na hatia ya kukwepa kodi nchini huisipania .




 
Jaji  wa kesi hiyo  amesema kuwa messi akikutwa na hatia yeye na baba yake  watahukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukwepa kodi kiasi cha cha euro 3.5 milioni na kufungua kampuni feki nchini uruguay vilevile kuficha baadhi ya nyaraka nyeti ambazo zinaonyesha kihasi halisi anachopata kutokana na  mikataba mbalimbali aliyoingiana nayo kama Adidas,Banco sabadell,Danone,pepsi-cola,procter&gamble na Kuwait food company kwa gushi kiasi kidogo huku anapata zaidi hayo yote yaliweza  kuonekana kupitia nyaraka za Panama ambazo zinadeal na watu mahsuhuri na hata vwatu wa serikalini wanaokwepa kulipa kodi duniani kote .
kesi hii imepelekwa mbele na hukumu yake itakatoka alhamisi hii na mchezaji huyo akikutwa na  hatia basi ataenda jela kutumikia kifungo cha  miaka 22 kwa kushirikiana na baba yake Jaji huyo alisema chanzo cha habari SKYSPORT kimeripoti

Post a Comment:

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
|o|
:"(
;)
(Y)
:o
:p
:P