MREMBO WA TANZANIA ANAYETAZAMIWA KUWA BILLIONEA KWA SIKU ZA USONI FORBES YAMTAJA.
MREMBO WA TANZANIA ANAYETAZAMIWA KUWA BILLIONEA.
Jarida la forbes afrika limemtaja miss universe 2010 mrembo hellen Dousen anayetazamiwa kuwa ametabiriwa kuwa anaweza mmoja wa billionea wa afrika kwa siku za usoni aliye chini ya miaka 30.
Jarida la forbes afrika limemtaja miss universe 2010 mrembo hellen Dousen anayetazamiwa kuwa ametabiriwa kuwa anaweza mmoja wa billionea wa afrika kwa siku za usoni aliye chini ya miaka 30.
Hellen amabaye pia ni mwanzilishi wa kampuni ya nuya`s essence ambayo yeye ni mkuregenzi mtendaji anayoshirikiana na kijana mwenzake Edwin Bruno,Jarida hilo linataratibu ya kutoa kila mwaka watu mashuhuri na wachapakazi ambayo wanaingiza vipato vyao kihalali kila mwaka na tukikumbuka vizuri mwaka jana tu ndio ndugu Mohamed Dewji aliyeweza kutajwa kama kijana billionea afrika kupitia Kampuni Yake ya MO enterprises.hellen aliweza kuandika kupitia ukurasa wake wa twitter kama unavyoona hapo chini.
Made it to the FORBES AFRICA 30 under 30 class of 2016. Thank you so much. @forbesafrica #ForbesAfrica pic.twitter.com/AzDw6Jk3Ve— Hellen Dausen (@NuyaHellen) May 29, 2016
Post a Comment: