Nitaarifa ya huzuni na pigo kwa UlimweMngu

wa vichekesho na Bongo Movie kiujumla. Nihabari ya msiba wa mchekeshaji maarufu Abdallah Kinyambe.

Kwa taarifa tuliyo ipokea ni kwamba Kinyambe alikuwa amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Mbeya baada ya Kuwa mgonjwa.

Lakin usiku wa kuamkia leo ndipo umauti ulipo mfikia.
Kinyambe atakumbukwa kwa kazi nyingi alizo fanya na kuleta msisimko kwa mashabiki wengi wa comedy kwa style yake Kuwazidi kuwa tofauti na wengine siku hadi Siku.
MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA. 
AMEN

Post a Comment: