Dangote afunguka baada ya kuzushiwa kifo.

September 26, 2016 Bilionea namba moja barani Afrika, Aliko Dangote DW-TV3 waliandika kuwa tajiri huyo amefariki dunia akiwa nchini Nigeria baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Muda mfupi baada ya kuzuka kwa taarifa hizo, Aliko Dangote alikanusha taarifa hizo kupitia mtandao wa Twitter kwa kupost kuwa yuko Afrika kusini na yuko salama kabisa.
Post a Comment: