Hugo & Taxedo wanakusogezea msanii mpya katika Industry- MARIOT
Katika picha ni msanii chipukizi toka Tanzania Mariot |
Mariot ni miongoni mwa wasanii wa muziki miondoko ya Afro Pop, Sweet Reggae, R& B na Zouk kutoka Tanzania. Msanii huyu mwenye asili ha kigogo ameanza kufanya rasmi mziki September 21, 2016 Dar es salaam baada ya kuanza kufanya media tour kwa kuanzia radio ya TBC Taifa katika harakati za kuitambulisha nyimbo yake mpya iendayo kwa ina la CHIMBA.

Post a Comment: